Magazeti leo Aprili 19,2025

Mume ampa mkewe mshahara wote kila mwezi, kisa?

Kutokana na utulivu wa mume wangu ndani ya ndoa, tumeweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo kama kufungua biashara, kuwa na zizi kubwa la mifugo huko kijini, kujenga nyumba yetu ya kuishi na nyingine tumepangisha, pia watoto wetu shule tunawalipia ada kwa wakati.

Baadhi ya wanawake wamekuwa na wivu ya jinsi tunavyoishi, wengine huwa wanakuja kuniuliza nimewezaje kumtuliza mume wangu wakati wa kwao wanakuwa na michepuko mingi hadi kushindwa kufanya mambo ya maendeleo.

Mama mmoja alinieleza kuwa, mume wake amekuwa akilipwa mshahara nzuri na marupurupu kibao kazini, lakini...SOMA ZAIDI HAPA

International news

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post