Mama mwenye nyumba kanitongoza, ninashindwa nimjibu vipi!
KATIKA haya maisha unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.

Jina langu ni Sam, kijana wa miaka 27 ambaye najishughulisha na ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam maeneo ya Kariakoo, kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na kurejea usiku.
Nakumbuka kuna siku katika pilikapilika zangu ndani ya jiji, nilipumzika sehemu nikawa najisomea gazeti, nikakutana na tangazo la...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo