Nilivyoshinda kikwazo cha kuolewa baada ya kuchelewa sana!
NINAITWA Mwajuma kutoka Ilala, Dar es Salaam, ni mwanamke msomi nikiwa na shahada ya uzamili katika uchumi, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 16 kwa sasa.
Ninaweza kusema katika maisha yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 42 nilikuwa sijaolewa.
Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta sababu ya kukimbia.

Baadhi ya watu wanasema wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana wanaona ni vigumu kuwasimamia kitu ambacho naona sio kweli, hiyo ni dhana potofu tu katika jamii yetu.
Mimi kama mke nina wajibu wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo