Magazeti leo Aprili 22,2025


Tamaa za ujana zilivyonipa kisonono!

KWA hakika tamaa za ujana ni mbaya sana, na yeyote anayejaribu kukidhi tamaa zake za ujana kwa pupa ni lazima utapata tabu sana kama ambavyo zilinikuta na mimi miaka ya nyuma.

Jina langu ni Dulla kutokea Kinondoni, miaka miwili iliyopita baada ya kupata kazi yenye mshahara mzuri, nilijikuta nikiwa na tamaa kubwa sana ya ngono.

Kila mwanamke mzuri ambaye alipita mbele yangu, basi mara moja ningetamani kushiri naye tendo hilo, hali hiyo ilipelekea siku moja kwenda kwenye madanguro kutafuta mwanamke wa kufanya naye ngono.
Siwezi kusema uongo, huku nilikutana na wanawake wengi wazuri hadi kushindwa nichague yupi na niache yupi, ila mwisho wa siku nilichagua mmoja na kufanikiwa kushiriki naye ngono.

Basi huo ukawa ndio mtindo wangu wa kila mara, isingeweza kupita siku mbili bila kwenda kununua mwanamke huko, kibaya zaidi nilikuwa nashiriki ngono bila kitumia kinga.

Mtindo wangu huo mpya wa maisha, ulikuja kunigharimu vibaya sana baada ya...SOMA ZAIDI HAPA

International news

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post