Nilivyoshinda mkosi wa kukimbiwa na wanawake!
UKWELI ni kwamba huku duniani kuna mikosi ya kila namna, mikosi ni mfululizo wa visa vibaya ambavyo vinaweza kuwa vinajirudia kila wakati na bila kujua sababu ni nini hasa.
Mathalani kuna mtu kila biashara anayofungua haiwezi kufikisha mwaka mmoja, mwingine kila gari analonunua lazima liibiwe, mwingine kila mtoto anayempeleka shule anafeli.

Hiyo ndio mikosi yenyewe, kipindi ambacho jamii zetu zinaheshimu mila na tamaduni kabla ya kuathiriwa na utamaduni za magharibi zilizoletwa na utandawazi, jambo kama hilo likitokea lazima wazee wakae na wafanye jambo.
Ila sasa hiyo imekuwa ni ngumu, watu wanapata mikosi kila siku, wanaumia, wanarudi nyuma kimaendeleo na kiuchumi, hakuna anaweza kujua kipi kifanyike kwa sasa.Hata hivyo, kuna hawa...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo