Magazeti leo Aprili 24,2025

Jinsi ya kujikinga na dhuluma katika kazi au ajira

HAKUNA ubishi kuwa, kila binadamu ana ndoto kubwa za kufanikiwa kimaisha, lakini ukweli ni kwamba sio kila mwenye ndoto inaweza kutimia na pengine inaweza kutimia ila kwa kuchelewa sana.

Jina langu ni Zawadi kutoka Bukoba, mwaka 2019 nilipata kazi katika kampuni mmoja ya kimaaifa ya kuuza vinywaji baridi, kwa hakika kazi hii ilikuwa ni nzuri na yenye mshahara mzuri ajabu.

Nilikuwa najisemea kimoyo moyo kuwa endapo nitafanya kazi hii kwa miaka miwili tu, basi nitaweza kujenga nyumba hata mbili, kununua gari na mambo mengine makubwa ya kimaendeleo.

Hata hivyo, miezi saba tu katika ajira ile, mambo yalianza kubadiika, kuna wafanyakazi wenzangu ambao...SOMA ZAIDI HAPA

International news

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post