Tapeli alivyoenda Benki kunirudishia fedha zangu!
NAITWA Naimani, unajua migogoro ya mashamba na viwanja ni mingi sana kwenye mahakama zetu, na yote inasababishwa na watu ambao si waaaminifu, mtu anaweza kuuza shamba lake leo, kisha kesho anamtafuta tena mtu mwingine na kumuuzia.
Nasema hivyo kwa sababu mimi ni miongoni mwa watu ambao wameweza kukumbana na changamoto hiyo, niliweza kununua kiwanja nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwa fedha nyingi tu ambazo nilizikusanya kwa muda mrefu kama miaka mitano.

Wakati napambana niweze kupata fedha za kuanza ujenzi, nilishtuka kuona kiwanja changu kuna ujenzi mwingine umeanza, nilipoenda kumuuliza anayejenga, aliniambia na yeye kauziwa kiwanja hicho na nyaraka muhimu anazo.
Nilihisi kuchanganyikiwa kabisa, mwili uliishiwa nguvu maana fedha zangu ...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo