Magazeti leo Aprili 5,2025


Baada ya mke kupata kazi kamkimbia mume

JINA langu Juma, Mke wangu hakuwa na kazi yoyote lakini alikuwa tayari kahitimu kutoka katika chuo kikuu na mara nyingi alikuwa akifanya majaribio mbalimbali ya kutafuta kazi bila mafanikio.

Licha ya hayo yote, nilikuwa nampenda na kumdhamini ajabu mke wangu kwani nilikuwa tayari kumfanyia lolote.
Mshahara wangu haukuwa mkubwa kwa kiwango kikubwa lakini nilikuwa najinyima ili kumfurahisha mke wangu wakati wowote ule.

Hali ile iliweza kufanya penzi letu hata kunawiri zaidi, yeye pia alikuwa ni mtu mvumilivu aliyekuwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news