Bila hivi mke wangu angeendelea kuninyima…!
KWA kawaida ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa yenyewe, kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana hasa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kuliko wewe kama mume.
Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo watu wengi huwa hawayazungumzii kwa undani kwa kuogopa kuchekwa na marafiki wao wa karibu, wao husahau kwamba wanapozungumza msaada unaweza kuja kwa wakati wowote.

Niliishi na mke wangu Cate kwa furaha hadi wakati ambapo alianza kunionyesha makonde nisijue hata pa kukimbilia kila usiku. Alikuwa ni mwanamke wa Kiluhya ambaye mwili ulikuwa umemkubali ajabu.
Alikuwa ni askari jela na mimi nilikuwa ni dalali wa kuuza maji mjini Kakamega, marafiki zangu walinikataza wakati fulani kwamba mwanamke yule angenisumbua, lakini yote sikutilia...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo