Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki waanza Arusha

ARUSHA-Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umeanza leo Aprili 22, 2025 jijini Arusha ambako ndiyo Makao Makuu ya Jumuiya hiyo.
Mkutano huo utakaofanyika kwa ngazi ya Wataalamu Aprili 22 na 23, 2025; ngazi ya Makatibu Wakuu Aprili 24, 2025 na ngazi ya Mawaziri Aprili 25, 2025 utajadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na mapendekezo ya mpango wa bajeti ya jumuiya hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Ujumbe wa Tanzania anashiriki kikamilifu kwenye mkutano huo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news