KATIKA familia yetu tumezaliwa watoto 12, wa kiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano.
Tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati.

Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, nao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu.
Kipindi baba yetu, Mzee Nyaku anafariki, aliachia Wosia kuwa mimi ndio nitarithi eneo la...SOMA ZAIDI HAPA