Rais Dkt.Mwinyi afanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Bahari Food Sytems ya Uingereza
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Muanzilishi wa kampuni ya Bahari Food Sytems ya Uingereza, Stephen Christensen na ujumbe wake jijini London, Uingereza tarehe 7 Aprili 2025.