LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa vituo vya utalii wa kampuni ya Abercrombie & Kent ya Uingereza, Rebecca Osman na ujumbe wake jijini London tarehe 8 Aprili 2025.