Rais Dkt.Mwinyi akutana na uongozi wa Ahmadiyya nchini Uingereza
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Makamu wa Rais wa Jumuiya la Dhehebu la Ahmadiyya nchini Uingereza, Nasser Khan na ujumbe wake jijini London, Uingereza tarehe 7 Aprili 2025.