Rais Dkt.Mwinyi apongezwa na Zenji One kwa mageuzi makubwa ya kiuchumi Zanzibar

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Zenji One leo ofisini kwake Ikulu Zanzibar.
Zenji One amempongeza Rais Dkt.Mwinyi kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kila sekta, pia kwa kuwa Mgombea wa Urais wa Zanzibar 2025-2030 na kuahidi kuendelea kutangaza kazi nzuri anayoendelea kufanya na kushiriki katika hamasa za kampeni katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu Oktoba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news