Rais Dkt.Mwinyi ateta na Mjumbe Maalum wa Serikali ya Uingereza,Ofunne Kate Osamor
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mjumbe Maalum wa Serikali ya Uingereza anayeshughulikia biashara Afrika Mashariki, Ofunne Kate Osamor jijini London, Uingereza tarehe 7 Aprili 2025.