Rais Dkt.Mwinyi ateta na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TLG jijini London
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Muanzilishi wa kampuni ya TLG inayoshughulikia Mitaji ya Uwekezaji, Zain Latif jijini London tarehe 8 Aprili 2025.