HomeDkt.Hussein Ali Mwinyi Rais Dkt.Mwinyi ateta na Mkurugenzi Mtendaji wa Maser Group LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Maser Group, Prateek Suri jijini London tarehe 8 Aprili 2025. Tags Dkt.Hussein Ali Mwinyi Habari Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter