Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ndugu Madaraka Nyerere Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” mara baada ya uzinduzi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” mara baada ya uzinduzi, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.
Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.