Ratiba ya mazishi na maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa TANESCO
Ratiba ya Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO), marehemu Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga. Maziko yatafanyika Bunda, Mkoa wa Mara leo tarehe 16 Aprili, 2025.