HomeDodoma City RC Senyamule akagua maendeleo ya Mji wa Serikali Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amefanya ziara ya kutembelea Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ikiwemo Ofisi ya Rais-UTUMISHI kwa lengo la kukagua maendeleo ya ujenzi wa mji huo. Tags Dodoma City Dodoma Region Habari Mji wa Serikali Mtumba Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter