HomeHabari TFF yaufungulia Uwanja wa Jamhuri Dodoma DODOMA-Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kutumika kwa michezo ya ligi kuu baada ya kufanya marekebisho yaliyokodhi vigezo vya kikanuni na kisheria za mpira wa miguu. Tags Habari Jamhuri Stadium Dodoma Michezo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Facebook Twitter