HomeHabari TFF yaufungulia Uwanja wa Liti mkoani Singida SINGIDA-Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Liti mkoani Singida kutumika kwa michezo ya ligi kuu baada ya kufanya marekebisho yaliyokodhi vigezo vya kikanuni na kisheria za mpira wa miguu. Tags Habari Liti Stadium Michezo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Facebook Twitter