MTWARA-Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ametengua uteuzi wa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya chama hicho na Mtaalamu wa dawati la jinsia, Catherine Ruge. Uteuzi wa Catherine Ruge umetenguliwa Aprili 5,2025;