DAR-Ikiwa imesalia miezi kadhaa kabla ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuingia katika Uchaguzi Mkuu,mazungumzo ya siri yanayodaiwa kuwa ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu yamevuja.
Katika mazungumzo hayo yanaonesha mpango wa kufanya siasa za chuki, vurugu na machafuko kuelekea katika uchaguzi huo.
Tags
Habari