Wakili Mkuu wa Serikali afanya mazungumzo na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (GIZ)

Wakili Mkuu wa Serikali , Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) walipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) walipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kongani ya Jinsia wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) Bi. Katharina Kuehn akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) walipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) walipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mhamasishaji wa Mradi wa Utawala wa Sheria na Mahakama wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) ndugu Muhamet Ibrahimi akizungumza na Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) alipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Madai ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Mark Mulwambo akifuatilia kwa makini kikao baina ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi na viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) hawapo pichani kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Viongozi wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Ujerumani, Kanda ya Afrika na Tanzania (The Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit - GIZ) wakimsikiliza kwa makini Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) walipofika Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news