HomeHabari Waziri Mkuu akutana na Balozi wa Japan nchini DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Youichi Mikami ofisi kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma leo Aprili 26, 2025. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu Picha Picha Chaguo la Mhariri Facebook Twitter