Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dkt.Samia kikao kazi cha maafisa utamaduni na michezo

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 22, 2025 anamwakilisha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania.
Kikao hicho cha Mafundo na Mazingativu kinalenga kujadili maendeleo ya sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Pia, kikao hicho kinatoa nafasi kwa washiriki kujadili fursa za sekta, kubaini changamoto zinazoikabili sekta za Utamaduni, Sanaa na Michezo na kupendekeza njia za utatuzi wa changamoto hizo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news