DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2025 ameshiriki Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu),Mhe.William Lukuvi leo Aprili 8,2025 bungeni jijini Dodoma.

Tags
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Habari
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri