DODOMA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Aprili 10,2025 ameshiriki Kikao cha Tatu cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge jijini Dodoma.Wabunge mbalimbali wameendelea kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge kwa Mwaka 2025-2026, baada ya kuwasilishwa na Waziri Mkuu Bungeni jana Machi 9, 2025.
Tags
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Habari
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri