Waziri Mkuu kufanya ziara ya siku moja Nansio wilayani Ukerewe

MWANZA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 25, 2025 amewasili mkoani Mwanza ambapo ataelekea Nansio-Ukerewe kwa ziara ya siku moja.
Akiwa katika kisiwa hicho Mheshimiwa Majaliwa atakagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali yenye hadi ya Huduma za Rufaa ya Mkoa, ataweka jiwe la msingi la jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe pamoja na kufanya mkutano wa hadhara utakaofanyika katika uwanja wa Getrude Mongela

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news