Waziri Simbachawene amjulia hali mzee Alhaji Mustafa Songambele
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amjulia hali mwanasiasa mkongwe mzee Alhaji Mustafa Songambele aliyelazwa katika hospitali ya Agakhan kwa matibabu, tarehe 2 April, 2025.